Monday 25 July 2011

maandalizi ya mpambano wa mbwana matumla na francis miyeyusho yakamilika

 KUSHOTO NI BINGWA WA UBO ANAYETETEA MKANDA WAKE MBWANA MATUMLA NA KULIA NI MPINZANI WAKE FRANCIS MIYEYUSHO HAPA NI BAADA YA KUSAINI KUPAMBANA TAREHE OKTOBA 30, 2011 KATIKA UKUMBI WA  DIAMOND JUBILEE HALL JIJINI DAR.KATIKATI NI MKURUGENZI WA  DARWORLD LINKS LTD AMBAO NI WAANDAAJI WA PAMBANO HILO MODDY BAWAZIR

No comments:

Post a Comment