Thursday 14 July 2011

BURIANI SEKOU TOURE MNDEME NA BINAMU YAKO SHENI SULTANI

 Mwili wa Sekou Toure Mndeme ukiwasili nyumbani kwake Kunduchi Mtongani jijini Dar leo
 Wadau wakiupokea mwili wa Marehemu Sekou Toure Mndeme nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, Dar, leo
 Mwili wa Sekou Toure ukipokelwa
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiupokea mwili huo
 Mwilli wa Sekou Toure
 Wadau wa CRDB
 Waombolezaji
 Mh. Bernard Membe akimtambulisha kaka mkubwa Issa kwa msaidizi wake
 Kaka Mkubwa Issa akiwashukuru waheshimiwa kwa kuhudhuria
 Dua kabla ya safari kuanza
 Kinamama
 Kaka Mkubwa Ismail akitoa neno la shukrani
 Waombolezaji msibani
 Kinamama na Kinadada walihudhuria kwa wingi

 Heshima za mwisho
 Miili ya Sekou Toure na wa Binamu yake Sheni ikitolewa nyumbani tayari kwa kuswaliwa na safari
 Mzee Magani na waombolezaji wengine
 Mwakilishiwa wa CRDB akitoa rambirambi
 Mkurugenzi wa Njuweni Investments Mzee Yusuf Mfinanga akitoa rambirambi zake
 Mwakilishi wa Dar es salaam Gymkhana Club akitoa rambirambi kwa niaba ya wanamichezo wa klabu hicho
 Rais wa TPN Phares Magessa akiwakilisha jumuiya ya  wanataaluma ambayo Sekou Toure alikuwa mwanachama
 Kaka Kazimito akitoa salamu za rambirambi toka Break Point Sports Club ambako marehemu alikuwa mwanachama
 Mipango ikipangwa
 Waombolezaji
 Msemaji mkuu wa familia, Abdi Sultani, akisoma wasifu wa marehemu
 Abdi Sultani akisoma wasifu wa Sekou Toure
 Msiba nyumbani kwa marehemu Kunduchi Mtongani
 Eric Shigongo (shoto) na Daudi wakiongea na mwasisi wa watangazaji wa TV nchini Misanya Bingi ambaye wengi walimfananisha na marehemu
 Kinamama msibani
 Kaka Daniel Mshana na Philemon wakiwa na mdau msibani
 Wadau msibani
 Marafiki wa karibu wa marehemu msibani
 Wanataaluma wa TPN wakiwa msibani
 Marafiki wa karibu wa marehemu wakati wa chakula
 Viongozi msibani
 Majonzi kila kona
 Rais msaafu wa TPN Mzalendo Sanctus Mtsimbe na wenzie msibani
 Wana CRDB Tawi la Lumbumba msibani 
 Kuweka sahihi kitabu cha maombolezo
 Wanakamati wakigonganisha vichwa ili mambo yaende sawa
 Marafiki, ndugu, jamaa na marafiki msibani
 Dkt. Azizi Mlima, Msaidizi wa rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa (shoto) akisalimiana na mwakilishi mkazi wa UNOPS nchini Sierra Leona Bw. Omary Mjenga.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe akisaini katika kitabu cha maombolezo. Pembeni yake ni kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar Mh Mecky Sadiki
 Mkurugenzi mkuu wa CRDB Dkt Charles Kimei na waombolezaji wengine msibani
 MC wa shughuli Bw. Fadhili Mganga
 Mwili wa Sekou Toure ulipowasili
 Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dkt Charles Kimei na Profesa Mshana wakiwa msibani
 Waombolezaji wakisubiri mwili wa maremehu

Jeneza lililobeba mwili wa binamu wa marehemu Sekou Toure ukiwasili sambamba

No comments:

Post a Comment