Thursday 14 July 2011

Lady Jay Dee na Gadna G Habash waandaa mnuso kwa wachezaji na viongozi wa Yanga kusherehekea ubingwa wa Kombe la Kagame Tusker Cup ukumbi wa Nyumbani Lounge jijini Dar

 Mnuso ukiendelea Nyumbani Lounge
 Baadhi ya wachezaji wa Yanga Nyumbani Lounge
 Kiungo Mshambuliaji wa Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf akilishwa keki na Jide
 Keki kwa kila mchezaji huku nahodha Nsajigwa akishuhudia
 Gadna G Habash jino nje nje
 Mvinyo usio na kilevi ukiandaliwa
 Lloyd Nchunga Mwenyekiti wa Yanga na Mama Sarah Ramadhani ndani ya nyumba
 Keki Maalumu
 Yanga Oye!
 Keki
 Jide na viongozi na wachezaji wa Yanya
 Nguna tyme...
 Msosi mzito kwa wachezaji
 Wachezaji wa Yanga
Jide kumbe Yanga Damu!

No comments:

Post a Comment