Monday 18 July 2011

Mish Ze Fire sister Afunika Derby Carnival

Derby Carnival
furaha likuwa kwa kila mtu
hata wazee walikuwepo
Ma Djz wakiwa mzigoni ndani ya Van
Mdau akicheki vazi lake
Mish akifanya vitu Vyake.
Msanii Mish za Fire sister Kutoka Urban Pulse akifanya makamuzi ya nguvu
parade ikiendelea
parade ikiingia uwanjani.
Parade ikipita mtaani
Producer Salim JSP akimpa Tafu Mish kwenye Big Stage
Queen wa Carnival Akila Pozi na Mish Ze Fire Sister na Frank
show ikiendela
vazi mfano wa fuvu la kichwa cha mtu
vazi rasmi la mfano wa tausi
wana parade wakipozi katika mitaa ya mji wa Derby
watoto wakishoo luv huku wakiwa na mixtape CD za Miss

No comments:

Post a Comment