Sunday 24 July 2011

Mnuso wa Barke Idarous na abdulhalim sebo hoteli ya movenpick jijini Dar wafana

 Bi harusi Barke Idarous
Barke na Abdulhalim
 Barke na flowers girls wake
Kapendeza hajapendezaaaa??
 Mama wa Bi Harusi Asia Idarous Khamsin na wadada wa maua
 Ankal na Khamsin wakiwa na Mwamoyo Hamza, bosi wa idhaa ya Kiswahili ya VOA
 Wadau harusini
 Madada harusini
 Ankal na Khamsin wakiwa na Balozi Tatu Nuru na mumewe
 Meza wa wazee wa familia
 Khadija Mwanambona, Ally Rhemtullah na Farha wakiwakilisha wabunifu wa mitindo
 wadau harusini
 Ndugu wa maharusi
 Muchacho family walikuwapo pia
 Maharusi na wapambe
 Keki yakatwa
 Muda wa chakula
 Mama Hasheem Thabeet na wageni waalikwa
 Ankal akila pozi na Shamim Zeze
 Mpunda
 Eddy na Abbas wapo pia
 Maharusi na familia
 Familia na maharusi
 Makaka na maharusi
 Wazee wa familia na maharusi
 Maharusi na ndugu
 Ndugu na maharusi
 Furaha tupu
 Maharusi na familia
 Ankal ndani na suti ya kuazima
 Khamsin na mama yake (wa pili shoto) na ankal wakila pozi na wamama
Ankal na maharusi

No comments:

Post a Comment