Monday 25 July 2011

Buriani mpiganaji Danny Mwakiteleko

 Askari akiaga kijeshi
 Ankal na wapiganaji wakimuaga Danny
Abdallah Majura, Mkurugenzi Mtendaji  wa Sports FM na Hassan Mhelela wa BBC
 Mkuu wa Kurugenzi ya Habari Ikulu Bw. Salva Rweyemamu akiwa na wanahabari wenzie katika msiba wa Danny Mwakiteleko huko Tabata Chang'ombe jijini Dar ambpoe baada ya heshima za mwisho mwili wake umesafirishwa leo kuelekea Mwakaleli, Tukuyu, kwa Mazishi
 Wanahabari wakibadilishana mawazo
 Wabahabari wakiwa msibani.
 Umati wa wanahabari, wanasiasa, ndugu jamaa na marafiki msibani
 Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absolom Kibanda akiongea na Badra Masoud wa TANESCO na Usiah Mkoma wa UN
 Wahariri waandamizi msibani
 Majonzi
 Saluti kwa Danny  Mwakiteleko toka kwa wafanyakazi na mkewe hospitali ya jeshi Lugalo
 Wahariri wakiwa wamejipanga tayari kubeba mwili wa marehemu kuupeleka garini
 Marafiki wa karibu na marehemu, Angetilleh Osiah, Msoud Sanani nna Juma Pinto
 Wahariri wakisubiri muda
 Wadau toka kila nyanja walikuwepo msibani
 Mpiganaji Athumani Hamisi na wadau wengine wapo
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi, akiongea na Salva
 
 Wazee wa familia na viongozi wa dini wakiwa msibani
 Wadau msibani
 Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mh. John Mongella akiongea na Mkurugenzi mtewndaji wa New Habari Corporation Bw. Bashe (kati) na Bw. John Nchimbi msibani
 Majonzi na vilio vyatawala
 Eric shigongo na wadau wengine msibani
 Beka Tall (shoto) na Beka Hendsam (kati) wakiwa na Kaka John Bwire
 Msafara unaanza
Mhariri Mtendaji wa Mtanzania Bw. Deo Balile (suti) akiwa na wapiganaji wenzie
 Jeneza latolewa nje
 Mke na watoto wa marehemu wakiaga
 Mpiganaji Athumani Hamisi akimuaga Danny
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absolom kibanda akitoa heshima zake za mwisho

No comments:

Post a Comment