Tuesday 19 July 2011

ACHIEVERS CLUB YAFANYA ADVENTURES MT ULUGURU

 Mandhari ya kijani tupu juu ya mlima Uluguru
 Safari ikitaka kuanza
 mapumziko baada ya kufika kileleni
kiongozi na mwazilishi wa achievers club Deogratius kilawe akiwa akifurahia water fall za mt Uluguru
 Mandhari ya kupendeza juu ya mlima Uluguru
 Achievers wakiwa katika tour yao
Mandhari ya mji kasoro bahari toka mlima Uluguru

Kauli kutoka kwa mwazilishi ni: Tupo mbioni kufungua tawi katika  kila chuo hapa tanzania. Vision yetu ni "unleash individual potential"
nini tunafanya:
- seminar ya capacity building kwa watu
-networking
-business project za kuwaingizia wanafunzi wa chuo fedha,mpaka 2015 tunaplan ya kila chuo kiwe na kampuni za wanafunzi,pia wanafunzi wawe share holder
-kufanya mafuzo ya uwezeshaji practically ya jinsi ya kuanziasha na kuendesha makampuni mavyuoni ili kuwawezesha member wakitoka hapo waanzishe kampuni zao
-Reading books programs,motivational book atleast one book  kwa wiki mbili,tunaaamini knowledge ni kitu chenye nguvu sana ili kubadilisha maisha ya mtu
 Contact: deogratiuskilawe@yahoo.com

No comments:

Post a Comment