UKUMBI: DAR ES SALAAM INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE-DICC
GHOROFA YA 5, JENGO LA PPF-TOWER
UKUMBI WA JOMO KENYATA.
| TAREHE / SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
| JUMAPILI 23/10/2011 | · Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
| JUMATATU 24/10/2011 | · Shughuli za Kiutawala · Kupitia Ratiba ya Kamati | · Wajumbe · Sekretarieti |
| JUMANNE 25/10/2011 | · Kamati kukutana na Waziri wa Katiba na Sheria na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. | · Wajumbe · Waziri wa Katiba na Sheria |
| JUMATANO 26/10/2011 | · Kamati kukutana na APRM | ● Wajumbe |
| ALHAMISI 27/10/2011 | · Kamati kutembelea TACAIDS | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge |
| IJUMAA 28/10/2011 | · Kamati kutembelea Shirika la Elimu Kibaha | ● Wajumbe · Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI |
| JUMAMOSI 29/10/2011 | · Kukutana na Kitengo cha Sheria na haki za Binadamu | · Wajumbe · Ofisi ya Bunge |
| JUMAPILI 30/10/2011 | · MAPUMZIKO | · WOTE |
| JUMATATU 01/11/2011 | · Kamati kutembele aIdara ya mahakama · Kamati kutembelea Mahakama ya ardhi | ● Wajumbe · Waziri wa Katiba na Sheria |
| JUMANNE 02/11/201 | · Kamati kutembelea mradi wa mabasi yaendayo kasi-DART | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya WM-TAMISEMI |
| JUMATANO 03/11/2011 | Kamati kutembelea ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa | ● Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya WM-Sera,Uratibu na Bunge |
| ALHAMISI 04/11/2011 | · Kamat i kutembelea Tume ya Uchaguzi | · Wajumbe · Waziri wa Nchi, Ofisi ya WM-Sera,Uratibu na Bunge |
| IJUMAAA 05/11/2011 | · MAJUMUISHO | · Wajumbe |
| JUMAMOSI NA JUMAPILI 06-07/11/2011 | Wajumbe kuelekea Dodoma | Ofisi ya Bunge |
ANGALIZO;
Endapo kamati itakabidhiwa mswada wowote,ratiba itabadilika .
Endapo kamati itakabidhiwa mswada wowote,ratiba itabadilika .
Shughuli za Kamati zinaanza saa 3.00 asubuhi.
No comments:
Post a Comment