Wednesday 26 October 2011

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUANZIA TAREHE 23/10/2011 MPAKA 04/11/2011

UKUMBI: MAKAMU WA RAIS
NA
TAREHE/SIKU
SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA
MHUSIKA
1.
23/10/2011 JUMAPILI
  • Kuwasili  Dar es salaam
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe
2.
24/10/2011
JUMATATU
·         Shughuli za Utawala na Kupitia Ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
3.
25/10/2011
JUMANNE
·         Kusafiri Kuelekea Shinyanga
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe
4.
26/10/2011
JUMATANO
  • Kutembelea Mgodi wa Buzwagi- Shinyanga kwa lengo la kukagua hali ya mazingira mgodini
·      Wajumbe
·      Ofisi ya Makamu wa Rais
( Mazingira)
·      NEMC
·      African Barrick Group
5.
27/10/2011
ALHAMISI
  • Kutembelea Mgodi wa Bulyanhulu- Shinyanga kwa  lengo la kukagua hali ya mazingira mgodini
·      Wajumbe
·      Ofisi ya Makamu wa Rais
( Mazingira)
·     NEMC
·      African Barrick Group
6.
28/10/2011
IJUMAA
  • Kusafiri kuelekea Tabora
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge
7.
29/10/2011
JUMAMOSI

·         Kukagua eneo lenye  mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Shela na Hifadhi za Taifa za Mpanda line- Urambo Tabora
·      Wajumbe
·      Mkuu wa Wilaya
·      Mhifadhi Mkuu
·      Mwenyekiti wa Kijiji
·      Wananchi

8.
30/10/2011
JUMAPILI
  • Kusafiri kuelekea Geita
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge
9.
31/10/2011
JUMATATU
  • Kutembelea Mgodi wa Geita Gold Mine kwa  lengo la kukagua hali ya mazingira mgodini na kusafiri kuelekea Sengerema
·      Wajumbe
·      Ofisi ya Makamu wa Rais
( Mazingira)
·     NEMC
·      Anglo Gold- Ashanti
10.
01/11/2011
JUMANNE
  • Kutembelea eneo lenye mgogoro kati ya Wananchi na shamba la Misitu la Buhindi- Sengerema
·      Wajumbe
·      Mkuu wa Wilaya ya Sengerema
·      Afisa Misitu wa Wilaya
·      Mwenyekiti wa Kijiji/ Wananchi
11.
02/11/2011
JUMATANO
  • Kutembelea Kiwanda cha Samaki cha VICFISH-Mwanza na kupata maelezo kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Kampuni ya VICFISH na kijiji cha Bumbiza
·      Wajumbe
·      Mkuu wa Wilaya ya Magu
·      Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·      Uongozi wa Kiwanda cha Samaki VICFISH
·      Wajumbe wa Serikali ya Kijiji cha Bumbiza -Magu
12.
03/11/2011
ALHAMIS
  • Kutembelea Chuo cha Wanyama pori Pansiansi-Mwanza
·      Wajumbe
·      Wizara ya Maliasili na Utalii
·      Mkuu wa Chuo
13.
04/11/2011
IJUMAA
  • Kutembelea Kisiwa cha Utalii cha Wanyama cha Sanane
·      Wajumbe
·      Mkuu wa Kisiwa
14.
05/11/2011
JUMAMOSI
  • Kusafiri kuelekea Dodoma
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge
15.
06/11/2011
JUMAPILI

  • MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
·      WOTE

No comments:

Post a Comment