Tuesday 25 October 2011

airtel yawapeleka wateja wake kuangalia movie mpya ya John English Reborn

Picha ya Kava ya Sinema mpya ya John English Reborn iliyozinduliwa hivi karibuni.


Mdau Kelvin Twissa akiwa na wadada warembo wa Airtel
Wadau.
Meneja Uhusiano wa Airtel,Jackson Mmbando (kati) akiwa na Angel Justice (shoto) pamoja na Mdau.
Mpiganaji wa Glogu ya Jamii,Othman Michuzi akiwa na Super Model,Angel Justice kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa sinema wa mlimani city kucheki sinema mpya ya John English Reborn.
Dada Monicca na rafikiye.
Baadhi ya wateja wa Airtel waliopata mualiko huo wa kwenda kucheki movie jipya la John English Reborn wakibadilishana mawazo kabla ya kuingia ukumbini.
wengi waliitika wito wa Airtel katika uzinduzi wa Filamu hiyo mpya ya mkongwe Mr Bean.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel wakiwa na wageni wao waliokuwa wamefika kwenye uzinduzi wa movie mpya ya John English Reborn iliyozinduliwa hivi karibuni katika ukumbi wa sinema uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment