UKUMBI WA 054: OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
| SIKU/TAREHE | SHUGHULI/MAHALI | WAHUSIKA | ||||
| Jumatatu 24 Oktoba, 2011 | Shughuli za Utawala (Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam) | · Sekretarieti ya Bunge | ||||
| Kuondoka Dar es Salaam | · Wajumbe | |||||
| Kuwasili Mwanza | · Wajumbe · RAS Mwanza | |||||
| Jumanne 25 Oktoba, 2011 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza | · Wajumbe · RC Mwanza · RAS Mwanza | ||||
| Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Jiji la Mwanza · Wilaya ya Nyamagana · Wilaya ya Ilemela | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | |||||
| MAPUMZIKO | · Wote | |||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Jumatano 26 Oktoba, 2011 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Wilaya ya Misungwi · Wilaya ya Sengerema · Wilaya ya Magu | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| | MAPUMZIKO | · Wote | ||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Alhamis 27 Oktoba, 2011 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Wilaya ya Geita · Wilaya ya Ukerewe · Wilaya Kwimba | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| MAPUMZIKO | · Wote | |||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Ijumaa 28 Oktoba, 2011 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Mwanza | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| Jumamosi 29 Oktoba, 2011 | Kuondoka Mwanza kuelekea Tabora | · Wajumbe · RAS Mwanza · RPC Mwanza | ||||
| Kuwasili Tabora | · Wajumbe · RPC Tabora · RAS Tabora | |||||
| Jumapili 30/10/11 | MAPUMZIKO | · Wajumbe | ||||
| Jumatatu 31 Oktoba, 2011 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Tabora | · Wajumbe · RC Tabora · RAS Tabora | ||||
| | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Wilaya ya Tabora · Wilaya ya Uyui | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| MAPUMZIKO | · Wote | |||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Jumanne 01 Novemba, 2011 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Wilaya ya Nzega · Wilaya ya Igunga | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| MAPUMZIKO | · Wote | |||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Jumatano 02Novemba, 2011 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo katika Halmashauri ya:- · Wilaya ya Urambo · Wilaya ya Sikonge | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| MAPUMZIKO | · Wote | |||||
| MAJADILIANO | · Wote | |||||
| Alhamis 03Novemba, 2011 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Tabora | · Wajumbe · Halmashauri · CPD · TAMISEMI | ||||
| Ijumaa | Kuondoka Tabora kuelekea Mwanza | · Wajumbe · RAS Tabora | ||||
| 04Novemba, 2011 | Kuondoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam | · Wajumbe · RAS Mwanza | ||||
| Jumamosi 05Novemba, 2011 | Kuelekea Dodoma kuhudhuria Mkutano wa Tano wa Bunge la Kumi | · Wajumbe · Sekretarieti ya Bunge | ||||
No comments:
Post a Comment