Wednesday 26 October 2011

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA (POAC) LENGO: KUCHAMBUA NA KUJADILI TAARIFA YA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA JUNI 30, 2010

UKUMBI NA. 117 OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM

S/N
TAREHE
SHIRIKA
MHUSIKA
1.
 Jumapili 
23 Oktoba
  • Wajumbe kuwasili Dar es salaam

  • KATIBU WA BUNGE
  • WAJUMBE
2.
Jumatatu
24 Oktoba
  • Bodi ya Utalii Tanzania ( TTB)
  • Benki ya Posta Tanzania
( TPB)



  • WAJUMBE WA KAMATI
  • OFISI YA CAG
  • WENYEVITI WA BODI ZA MASHIRIKA HUSIKA
  • WATENDAJI WA MASHIRIKA
  • MSAJILI WA HAZINA




















3.
Jumanne
 25 Oktoba
  • kituo cha uwekezaji Tanzania ( TIC)
  • Mfuko wa Pensheni ya Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa ( LAPF)
4.
Jumatano
26 Oktoba
  • Mamlaka ya Ufundi stadi Tanzania ( VETA)
  • Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma ( PPF)
5.
Alhamisi
27 Oktoba
  • Shirika la Mafuta Tanzania
 ( TPDC)
  • Chuo cha Uhasibu Arusha
  • Chuo kikuu cha Ardhi
6.
Ijumaa
 28 Oktoba
  • Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji ( EWURA)
  • Shirika la Madini Tanzania
( STAMICO)
7.
Jumamosi na Jumapili 29 – 30 Oktoba
  • Mapumziko ya Mwisho mwa wiki

8.
Jumatatu
 31 Oktoba
  • Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
( HESLB)
  • Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania ( TANESCO)

9.
Jumanne
01 Novemba
  • Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
  • Maktaba kuu ya Taifa

10.
Jumatano Novemba 02
  • Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano ( TCRA)
  • Tume ya Taifa ya Mipango
           ya Ardhi
  • Chuo kikuu Dodoma

11.
Alhamisi Novemba 03
·         Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB)
·         Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini ( IRDP)

12.
Ijumaa Novemba 04
  • Benki ya Twiga ( TWIGA BANCORP)
  • Bodi ya Pamba Tanzania
  • Chuo cha Taifa cha usafirishaji ( NIT)

13.
Jumamosi na Jumapili
05 – 06 Novemba
  • Kuelekea Dodoma
  • Katibu wa Bunge



TANBIHI           
  • Saa 3:00 Asubuhi: kuanza Kwa kikao
  • Saa 4:00 Asubuhi: chai

  • Shirika linaloonekana namba moja kwenye ratiba wafike mbele ya Kamati saa tatu na nusu asubuhi, Shirika la Pili katika ratiba wafike mbele ya Kamati saa tano na nusu asubuhi na Shirika linalotokea kwenye ratiba kama namba tatu wafike saa saba na nusu mchana.

  • Nakala 20 za vitabu vya Taarifa za Hesabu za Shirika ziwasilishwe kwa Katibu wa Kamati siku tano kabla ya Kikao cha Kamati


No comments:

Post a Comment