Wednesday 26 October 2011

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA FEDHA NA UCHUMI TAREHE 23 OKTOBA – 04 NOVEMBA, 2011

UKUMBI WA  MKWAWA OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM



SIKU
TAREHE



SHUGHULI


WAHUSIKA
JUMAPILI
23/10/2011
·         Wajumbe wa Kamati kuwasili Dar es Salaam

·         Katibu wa Bunge

JUMATATU
24/10/2011
·         Kukutana na Wizara ya Fedha pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania kujadili masuala yafuatayo: Mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania pamoja.

·         Kujadili hatua za kuchukuliwa kutatua matatizo haya

·         Wajumbe wa Kamati.

·         Wizara ya Fedha

·         TRA

·         Tume ya Mipango

JUMANNE
25/10/2011

·         Kukutana na Wizara ya Fedha kujadili masuala yafuatayo: Mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania pamoja na kudorola kwa uchumi wa Tanzania

·         Kujadili hatua za kuchukuliwa kutatua matatizo haya
·         Wajumbe wa Kamati.

·         Wizara ya Fedha

·         Tume ya Mipango
JUMATANO
26/10/2011
·         Kupata taarifa kuhusu athari za kutopatikana kwa Nishati ya Umeme wa uhakika nchini kwa Uchumi wa nchi

·         Kujadili hatua za kuchukuliwa kutatua tatizo hili
·         Wajumbe wa Kamati

·         Wizara ya Fedha

·         Wizara ya Nishati na Madini

·         TANESCO

·         Tume ya Mipango

ALHAMISI
27/10/2011
·         Kupata taarifa ya majibu ya hoja zilizowasilishwa kwenye kikao cha Wizara ya Fedha pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (Kikao cha tarehe 24/10/2011)
·         Wajumbe wa Kamati

·        Wizara ya Fedha.

·        TRA


IJUMAA
28/10/2011
·         Kupata taarifa ya majibu ya hoja zilizowasilishwa kwenye kikao cha Wizara ya Fedha pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ( Kikao cha tarehe 25/10/2011)
·         Wajumbe wa Kamati

·        Wizara ya Fedha.

·        BOT

JUMAMOSI
29/10/2011
·         MAPUMUZIKO
·         Wajumbe
JUMATATU
31/10/2011
·         Kupitia na kujadili markebisho ya Muswada wa marekebisho wa Sheria mbalimbali za biashara wa Mwaka 2011 (The Miscellaneous amendments) Bill, 2011
·         Ofisi ya Waziri Mkuu


JUMANNE
01/11/2011
·         Kupitia na kujadili marekebisho ya Muswada wa Marekebisho wa Sheria ya Manunuzi ya Umma wa Mwaka 2010 (The Public Procurement Bill, 2010).

·         Wajumbe wa Kamati.


JUMATANO
02/11/2011
·         Mawasilisho ya marekebisho ya Muswada wa Marekebisho wa Sheria ya Manunuzi ya Umma wa Mwaka 2010 (The Public Procurement Bill, 2010).


·         Wajumbe wa Kamati

·         Waziri wa  Fedha na Uchumi

·         Ofisi ya Mwanasheria Mkuu


ALHAMIS
03/11/2011

·         Kupitia Taarifa ya Kamati kuhusu Muswada wa Marekebisho wa Sheria ya Manunuzi ya Umma kwa Mwaka 2010. (The Public Procurement Bill, 2010)

·         Wajumbe wa Kamati.



IJUMAA
04/11/2011

·         Majumuisho

·         Wajumbe wa Kamati
JUMAMOSI
05/11/2011
·         Kusafiri kuelekea Dodoma
·         Wajumbe wa Kamati.

·         Katibu wa Bunge


TANBIHI:  Vikao vitaanza saa 3.30 asubuhi mpaka saa 11.00 Jioni

No comments:

Post a Comment