Thursday 13 October 2011

JK aongoza mamia katika mazishi ya marehemu juma penza

Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Kada wa Chama Cha Mapinduzi na mwandishi wa habari Mwandamizi, marehemu  Juma Penza wakati wa mazishi  yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo jioni
 
 Rais Kikwete akiongea na baadhi ya waombolezaji baada ya mazishi
 Rais Kikwete akiondoka katika makaburi ya Kisutu baada ya mazishi
 Rais Kikwete akiwa na baadhi ya wajukuu wa marehemu













No comments:

Post a Comment