UKUMBI: NA. 054 OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
| SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MUHUSIKA |
| Jumanne 18/10/2011 | · Wajumbe kuwasili Dar-es-Salaam | · Katibu wa Bunge |
| Jumatano 19/10/2011 | · Kuelekea Mgololo · Kusalimiana na Mkuu wa Wilaya Mafinga | · Wajumbe. · Sekretarieti · DAS |
| Alhamisi 20/10/2011 | · Kutembelea Kiwanda cha Karatasi Mgololo | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi MPM |
| Ijumaa 21/10/2011 | · Kikao na Uongozi wa Kiwanda | · Wajumbe · Uongozi wa Kiwanda |
| Jumamosi 22/10/2011 | · Kuondoka Mgololo · Kutembelea kiwanda cha Chai Mafinga · Kuelekea Iringa | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda |
| Jumapili 23/10/2011 | · Kutembelea Kiwanda cha Maziwa | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda |
| Jumatatu 24/10/2011 | · Kuelekea Kiwanda cha Sukari Kilombero · Kutembelea Kiwanda · Kuelekea Morogoro | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda |
| Jumanne 25/10/2011 | · Kutembelea Kiwanda cha Sukari Mtibwa · Kurudi Morogoro | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda |
| Jumatano 26/10/2011 | · Kutembelea: - Nguo 21st Century - Magunia | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda |
| Alhamisi 27/10/2011 | · Kuelekea DSM | · Wajumbe · Sekretarieti |
| Ijumaa 28/10/2011 | · Majumuisho ya ziara | · Wajumbe · Sekretarieti |
| Jumamosi 29/10/2011 | · MAPUMUZIKO | · Wajumbe |
| Jumatatu 31/10/2011 | · Kutembelea Kiwanda cha - National Betri - Kiwanda cha Nondo/ Mabati | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Viwanda |
| Jumanne 01/11/2011 | Kutembelea: - Kiwanda cha Nguo Urafiki - Kutembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) | · Wajumbe · Wizara ya VB · Uongozi wa Kiwanda · TBS |
| Jumatano 02/11/2011 | · Kutembelea Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) | · |
| Alhamisi 03/11/2011 | · Kupitia Taarifa ya Mwaka ya Kamati | · Wajumbe · Sekretarieti |
| Ijumaa 04/11/2011 | · Majumuisho |
|
| Jumamosi 05/11/2011 na Jumapili 06/11/2011 | · Wajumbe kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
No comments:
Post a Comment