UKUMBI Na. 114: -OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
NA. | TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
1. | 23/10/2011 Jumapili | § Kuwasili | § Wajumbe |
2. | 24/10/2011 Jumatatu | § Masuala ya Kiutawala | § LAAC , NAOT na TAMISEMI |
3. | 25/10/2011 Jumanne | § Singida (W) § Chato (W) | § LAAC § NAO § TAMISEMI § HAZINA § Halmashauri husika |
4. | 26/10/2011 Jumatano | § Bukoba (W) § Bukoba (Man) | |
5. | 27/10/2011 Alhamis | § Karagwe (W) § Muleba (W) | |
6. | 28/10/2011 Ijumaa | § Kahama (W) § Kishapu (W) | |
7. | 29/10/2011 Jumamosi | § Meatu (W) § Bariadi (W) | |
8. | 30/10/2011 Jumapili | § Igunga (W) § Sikonge (Man) | |
9. | 31/10/2011 Jumatatu | § Urambo (W) § Tabora (Man) | |
10. | 01/112011 Jumanne | § Ziara. Temeke (Manispaa) | |
11. | 02/11/2011 Jumatano | § Ziara, Ilala (Manispaa) | |
12. | 03/11/2011 Alhamisi | § Ziara, Kinondoni (Manispaa) § Ziara, Dar es Salaam (Jiji) | |
13. | 04/11/2011 Ijumaa | § Majumuisho, ofisi ya RAS, § Mkoa wa Dar es Salaam. | |
14. | 05-06/11/2011 Jumamosi -Jumapili | § Kusafiri kuelekea Dodoma | § Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
i) Ratiba itategemea Kibali cha Spika kwa mujibu wa Kanuni ya 114 (3) (4) na (5)
ii) Ikitokea kuna kazi iliyoletwa na Mheshimiwa Spika ratiba itabadilika
iii) Vikao vitaanza Saa 3.00 Asubuhi
No comments:
Post a Comment