Wednesday 26 October 2011

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI RASIMU YA RATIBA YA KAZI, TAREHE 24/10 HADI 04/11/2011

UKUMBI – DICC 5TH FLOOR ALI HASSAN MWINYI
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
JUMATATU
24/10/2011
Shughuli za Utawala na kupitia ratiba ya kazi.
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
JUMANNE
25/10/2011

·      Kusafiri kwa ndege kuelekea Musoma
·      Courtesy call kwa Mkuu wa Mkoa

 (Kamati italala Musoma)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • Uongozi wa Mkoa
JUMATANO
26/10/2011

·      Kuelekea Nyamongo
·      Kutembelea Mgodi wa North Mara
·      Kukutana  na Kuongea na wachimbaji wadogo/ wananchi wa Nyamongo
·      Kuelekea Mwanza kwa gari
 (Kamati italala Mwanza)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • Uongozi wa Mkoa
ALHAMISI
27/10/2011
·      Courtesy Call kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
·      Kuelekea Geita kwa gari
·      Courtesy call kwa Mkuu Wilaya ya Geita
·      Kutembelea  Mgodi wa Geita
·      Kukutana na kuongea na wachimbaji wadogo/wananchi wa Nyarugusu
(Kamati italala Geita)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • Uongozi wa Mkoa na Wilaya
IJUMAA
28/10/2011

·      Kuelekea Mwadui kwa gari
·      Courtesy call kwa Mkuu wa Wilaya
·      Kutembelea Mgodi wa Mwadui
·      Kukutana na kuongea na wachimbaji wadogo/wananchi wa Maganzo
(Kamati italala Shinyanga)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • Uongozi wa Mkoa na Wilaya
JUMAMOSI
29/10/2011
·         Kurudi Dar es Salaam kwa ndege
  • Wajumbe
JUMAPILI
30/10/2011
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
  • WOTE
JUMATATU- JUMANNE
31/10 – 1/11/2011
·      Kuelekea Mtwara kwa ndege
·      Kutembelea Bahari ya Kina Kirefu (Msimbati) mafuta na gesi.
·      Kurudi kwa ndege Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • Uongozi wa Wilaya
JUMATANO ALHAMISI
2 - 3/11/2011
·      Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa dharula umeme
  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • TANESCO
IJUMAA
4/11/2011
·      Kukutana na EWURA na kupata taarifa ya Bulk Procurement, Vinasaba na Bei ya Mafuta.
·      MAJUMUISHO

  • Wajumbe
  • Wizara ya Nishati na Madini
  • EWURA
  • Sekretari
JUMAMOSI- JUMAPILI
05 -06/11/2011
·         Wajumbe kuelekea Dodoma

  • Katibu wa Bunge

No comments:

Post a Comment