UKUMBI NAMBA 113: OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
_________________________________
NA. | SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
1. | Jumanne 11 Oktoba 2011 | Waheshimiwa Wabunge kuwasili Morogoro | CAG/Sekretarieti |
2. | Jumatano-Ijumaa 12-14 Oktoba 2011 | Semina kuhusu ukaguzi wa thamani | CCAP/CAG |
3. | Jumamosi 15 Oktoba 2011 | Kukagua miradi inayotekelezwa na RAS Morogoro | RAS Morogoro |
4. | Jumapili 16 Oktoba 2011 | Kuelekea Dar es Salaam | RAS/Sekretarieti |
5. | Jumatatu 17 Oktoba 2011 | Kamati kupata maelezo kuhusu kaguzi za thamani ambazo zimefanyika:
| CAG/Wajumbe/Sekretarieti |
6. | Jumanne 18 Oktoba 2011 | Kamati kujadili taarifa ya ukaguzi wa thamani katika sekta ya Afya | Afisa Masuuli Fungu 52/CAG/Wajumbe |
7. | Jumatano 19 Oktoba 2011 | Kamati kujadili taarifa ya ukaguzi wa thamani katika sekta ya elimu | Afisa Masuuli Fungu 46/CAG/Wajumbe |
8. | Alhamisi 20 Oktoba 2011 | Kamati kujadili taarifa ya ukaguzi wa thamani katika miradi ya barabara | Afisa Masuuli Fungu 98/CAG/Wajumbe |
9. | Ijumaa 21 Oktoba 2011 | Fungu la 18 - Mahakama Kuu Fungu la 40 - Mahakama ya Rufaa | CAG/Afisa Masuuli/AcGen/DGAM |
10. | Jumamosi na Jumapili | MAPUMZIKO | Wote |
11. | Jumatatu 24 Oktoba 2011 | Fungu la 48 – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi | Afisa Masuuli/CAG/ AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
12. | Jumanne 25 Oktoba 2011 | Fungu la 44 – Wizara ya Viwanda na Biashara | Afisa Masuuli/CAG/ AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
13. | Jumatano 26 Oktoba 2011 | Fungu la 42 – Mfuko wa Bunge | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretariet |
14. | Alhamisi 27 Oktoba 2011 | Fungu la 29 – Idara ya Magereza Fungu la 14 - Idara ya Zimamoto | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
15. | Ijumaa 28 Oktoba 2011 | Fungu la 16 – Mwanasheria Mkuu wa Serikali Fungu la 41 - Wizara ya Sheria na Katiba | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
16. | Jumamosi na Jumapili | MAPUMZIKO | Wote |
17. | Jumatatu 31 Oktoba 2011 | Fungu la 56 - TAMISEMI | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
18. | Jumanne 01 Novemba 2011 | Fungu la 38 – Ngome | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
19. | Jumatano 02 Novemba 2011 | Fungu la 39 – Jeshi la Kujenga Taifa | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
20. | Alhamisi 03 Novemba 2011 | Fungu la 57 – Wizara ya Ulinzi na JKT | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
21. | Ijumaa 04 Novemba 2011 | Fungu la 68 - Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe/ Sekretarieti |
22. | Jumamosi 05 Novemba 2011 | Wajumbe kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
· Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
· Maafisa masuuli waepuke kuambatana na maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
· Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
No comments:
Post a Comment