Wednesday 26 October 2011

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI KUANZIA TAREHE 23 OKTOBA HADI 6 NOVEMBA, 2011

UKUMBI WA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA
NA.
TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
1.
23/10/2011
Jumapili

§  Kuwasili Dar es salaam

Wajumbe
2.
24/10/2011
Jumatatu
§  Shughuli za Utawala
§  Maelezo mafupi kuhusu ratiba
§  Wajumbe
§  Sekretarieti

3.
25/10/2011
Jumanne
§  Kupokea na Kujadili taarifa ya Hali ya Usalama nchini
§  Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais Utawala Bora
4.
26/10/2011
Jumatano
§  Kutembelea Air wing

§  Waziri - UJKT
§  Wajumbe
5.
27/10/2011
Alhamis
§  Kutembelea Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC)
§  Waziri - UJKT
§  Wajumbe

6.
28/10/2011
Ijumaa
§  Kutembelea NAVY - Kigamboni 
§  Kupokea taarifa ya Hali ya Usalama nchini kwa kipindi cha Julai- Septemba, 2011
§   
§  Waziri - UJKT
§  Wajumbe

7.
29/10/2011
Jumamosi
§  Mapumziko ya Wiki
§  Wajumbe
8.
30/10/2011
 Jumapili
§  Kusafiri kuelekea Mkoa wa Kagera
§  Wajumbe
9.
31/10/2011
Jumatatu
§  Kusalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera
§  Kukagua Mpaka wa Mtukula na shughuli za Uhamiaji mpakani
§  Mkuu wa Mkoa wa Kagera
§  Waziri wa Ulinzi
§  Waziri wa Mambo ya Ndani
§  Wajumbe
10.
01/112011
Jumanne
§  Kusafiri kuelekea Kigoma
§  Kusalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
§  Mkuu wa Mkoa Kigoma
§  Wajumbe
11.
02/11/2011
Jumatano
§  Kukagua Kambi za Wakimbizi : Nyarugusu na Mtabila
§  Waziri  MN
§  Wajumbe

12.
03/11/2011
Alhamisi
§  Kukagua Mpaka wa Tanzania na Burundi na shughuli za Uhamiaji Mpakani

§  Waziri UJKT
§  Waziri MN
§  Wajumbe
13.
04/11/2011
Ijumaa
§  Kutembelea Kambi ya JKT Bulombola

§  Wajumbe
§  Waziri wa Ulinzi na JKT
14.
05/11/2011
Jumamosi
§  Kusafiri  kuelekea Dar es Salaam
§  Wajumbe
15.
06/11/2011
Jumapili
§  Kusafiri kuelekea Dodoma
§  Wajumbe
TANBIHI:
i)                 Vikao vitaanza  Saa 3.30 Asubuhi
ii)               Mapumziko ya chai yatakuwa saa 5:30 Asubuhi

No comments:

Post a Comment