UKUMBI: MIKUTANO WIZARA YA FEDHA
SIKU TAREHE | SHUGHULI | WAHUSIKA |
JUMAPILI 23/10/2011 | · Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | · KATIBU WA BUNGE |
JUMATATU 24/10/2011 | · Kupitia ratiba · Shughuli za utawala | · Wajumbe wa Kamati · Sekretarieti |
JUMANNE 25/10/2011 | · Kukutana na Bodi ya Pamba na kupata taarifa za utendaji wake | · Wajumbe wa Kamati · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika · Bodi ya Pamba |
JUMATANO-ALHAMISI 26-27/10/2011 | · Kupata semina kuhusu dhana ya KILIMO KWANZA (Southern Agriculture Growth Corridor for Tanzania) na Semina kuhusu Hali ya Sukari Tanzania | · Wajumbe wa Kamati · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika |
IJUMAA 28/10/2011 | KUNDI (A) · Kusafiri kuelekea Kagera · Kumsalimu Mkuu wa Mkoa Kagera KUNDI (B) · Kusafiri kuelekea Mwanza · Kumsalimu Mkuu wa Mkoa Mwanza | · Wajumbe wa Kamati · RAS KAGERA- KUNDI (A) · RAS MWANZA- KUNDI (B) |
JUMAMOSI 29/10/2011 | KUNDI (A) · Kutembelea Viwanda vya Kuchakata Samaki KUNDI (B) · Kutembelea mradi wa maji wa Kahama- Shinyanga uliopo Misungwi Mwanza | · Wajumbe · Wizara ya Maendeleo ya Mifugo · Wizara ya Maji . |
Jumapili 30/10/2010 | KUNDI (A) · Kutembelea Maeneo ya wavuvi (Miyalo) na maeneo ya ufugaji wa viumbe vya Majini KUNDI (B) · Kutembelea mradi wa maji taka na maji safi Mwanza Mjini | · Wajumbe · Wizara ya Maendeleo ya Mifugo · Wizara ya Maji |
Jumatatu 31/10/2011 | KUNDI (A) · Kutembelea Chuo cha kilimo Maruku na kupata taarifa ya utendaji wa Chuo KUNDI (B) · Kutembelea Maabara/Chuo cha Uvuvi Nyegezi | · Wajumbe · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika · Wizara ya Maendeleo ya Mifugo · TAFIRI |
Jumanne 01/11/2011 | KUNDI (A) · Kutembelea Ranchi iliyopo Muleba Kaskazini KUNDI (B) · Kusafiri kuelekea | · Wajumbe · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika · RAS- Shinyanga |
| · Shinyanga · Kumsalimu Mkuu wa Mkoa Shinyanga | · |
Jumatano 02/11/2011 | KUNDI (A) · Kutembelea Mradi wa Maji Muleba Mjini KUNDI (B) · Kutembelea eneo la kilimo cha umwagiliaji -Nyinda | · Wajumbe · Wizara ya Maji · Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika |
Alhamis 03/11/2011 | · Kusafiri kuelekea Dar es salaam | · Wajumbe |
Ijumaa 04/11/2011 | · MAJUMUISHO | · Wajumbe · Sekretarieti |
Jumamosi-Jumapil 05-06/11/2011 | · Kusafiri kwenda Dodoma | · KATIBU WA BUNGE |
TANBIHI:
1) Vikao vitaanza saa 3.00 asubuhi
2) Mapumziko mafupi ya chai:Saa 5.00 Asubuhi
No comments:
Post a Comment