Wednesday 26 October 2011

RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII KUANZIA TAREHE 23 OKTOBA HADI 04 NOVEMBA 2011

UKUMBI WA CLERK’S BOARD ROOM – OFISI YA BUNGE DAR ES SALAAM


TAREHE

SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA

WAHUSIKA
23/10/2011
Jumapili
  • Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Katibu wa Bunge
24/10/2011
Jumatatu
  • Utawala pamoja na kupitia rasimu ya Ratiba
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
25/10/2011
Jumanne
·         Kutembelea  Hospitali ya CCBRT Wodi ya watoto
·         Wajumbe
·         Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto
·         CCBRT
26/10/2011
Jumatano
  • Kutembelea Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Habari , Vijana, Utamaduni na Michezo
27/10/2011
Alhamisi
  • Kutembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
28/10/2011
Ijumaa

  • Kutembelea Mashirika yasiyo ya Kiserikali yanayohusika na Wawake na Watoto
  • Wajumbe
  • Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
29/10/2011
30/10/2011
Jumamosi
  • Mapumziko ya Mwisho wa wiki
  • Wajumbe
31/10/2011
Jumatatu
·         Kutembelea Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
1/11/2011
Jumanne
  • Kukutana na Association of Tanzania Employers (ATE) kupata Taarifa kuhusu changamoto za kisheria na kisera katika kuimarisha mahusiano kazini
  • Wajumbe
  • Association of Tanzania Employers (ATE)
2/11/2011
Jumatano
  • Kutembelea uwanja wa Taifa Dar es Salaam na ofisi za Baraza la Michezo Tanzania (BMT)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo
3/11/2011
Alhamisi
  • Kusafiri kuelekea Morogoro
  • Kumsalimu Mkuu wa Mkoa
  • Kumsalim Mkuu wa Wilaya ya Mvomero
  • Wajumbe
  • RAS Morogoro
  • DAS Mvomero
4/11/2011
Ijumaa

  • Kutembelea Kiwanda cha Sukari Mtibwa kufwatilia matatizo yanayowakabili wafanyakazi wa kiwanda hicho
  • Kusafiri kuelekea Dodoma

  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira


No comments:

Post a Comment