wengi wao ni presha ya juu, wengi wao hawajui na waliokuwa wana jua hawakuwa na dawa ama hawakuwa na fedha za kununulia madawa. Changamoto kubwa kwa wanahudhuri vituo vya afya ni kutopewa madawa, hupewa prescription ya kununulia dawa.
Hii hapa ni wheel chair ya Yombo kila |
Dr MHadi magomeni manzese kwa mzee Issa, nae yuko kitandani hawezi kutembea na mkewe nae kama unavyooona akiwa anapimwa na Dr Evelyn Mkuchika. agesa na Dr Mboneka wakimhoji Bi Asha |
Dr Mkuchika na Dr Mahiza wachukua maelezo na vipimo vya Fatuma |
Dr Mahiza akijadiliana na mwenyekiti wa TPF mama Rose Mwapachu |
Changa moto kubwa iliotupata ni jinsi ya kupata vipimo na upatikanaji wa madawa muhimu. |
No comments:
Post a Comment