Thursday 7 April 2011

Mambo yalivyokuwa kwenye Karume Day sports fiesta 2011

Ankal akiwa na mwakilishi wa Chelsea ya Helsinki
Abdallah Ezza (kulia) na mdau China na mdau wa Man U
Mwenyekiti wa Liverpool Family Adam Gwao
(kulia) na mwanachama hai

Trupu la Clouds FM
Bwawa la Maini Oyeeeeeeeeeeeeeee...!!
Katibu Mkuu wa Liverpool Family Ramadhani
Kitunga akihutubia mkutano wa wanachama
Katibu Mkuu wa Liverpool Family akimwaga mistari
Shhhhhh....katibu anaongea...
Wadau wa Liverpool
Mabingwa Real Madrid
Benchi la ufundi la mabingwa Real Madrid
Kikosi cha kwanza cha Chelsea
Kocha wa Chelsea akitoa mawaidha
Washindi wa pili Chelsea
Asma Macau na zamaradi Mketema wakiwasili na injini kiuno...
Benchi la ufundi la Chelsea
Chelsea! Chelsea! Chelsea!
Chelsea wakisherehekea kuingia fainali
Frederick Mwakalebela akiongoza safu ya Chelsea
kushangilia kuingia fainali na Real Madrid

Nyomi
Leaders Club palikuwa hapatoshi
Wenye kucheka wanacheka, na wenye kununa ndio hivyo tena...
Mashabiki mchanganyiko
Mashabiki waifuatilia gemu
Ilikuwa ni siku ya furaha na kujumuika pamoja
Bwawa la maini oye!
Wadau wa Man U
Mratibu wa bonanza Ruge Mutahaba (kulia)
akisalimiana na Jerry Tegete

Wadau wa Chelsea

No comments:

Post a Comment