Monday, 4 April 2011

onesho la pamoja la 20 per cent na mapacha watatu mzalendo pub jumapili

Bango la Mapacha Watatu likiwa mlangoni Mzalendo Pub ndani ya Millenium Towers Kijitonyama Jijini Dar ambapo hutumbuiza kila Jumapili, na kila Jumanne wanakuwa Coco Beach
Khalid Chokoraa, rapa bora wa Mwaka akiongoza mashambulizi
Kikosi cha bendi ya Mapacha watatu chazidi kuimarika
Jose Mara akitoa tangazo kwa mashabiki
MC Maimatha wa Jesse akisherehesha kwa umahiri mkubwa
Jose Mara na wanenguaji wa Mapacha
Watatu wakishambulia Jukwaa kwa ustadi

Kalala Junior na Jose Mara wakienda sambamba na wanenguaji
Mpiga gitaa kijana lakini mzoefu, Aaron
(zamani alikuwa Sisi Tambala) akiwajibika

Safu ya ulinzi ya Mapacha watatu
Mapacha watatu wakionesha nini
kilichowapatia tuzo mbili za Kili Awards

Producer wa 20% John Shariza a.k.a Man Water
wa Combination Sound aka Combinenga
akicharaza tumba
20% akiwajibika mbele ya tuzo zake tano
kwa mpigo za Kili Music Awards

20% akipozi na tuzo zake
20% akiwa na kundi lake wakionesha tuzo zake
Trupu zima la 20% chini ya Combinenga wakipozi kwa fahari na furaha baada ya kuweka historia ya msanii kuzoa tuzo tano kwa mpigo. Chini ni video ya wimbo bora wa mwaka 'Tamaa Mbaya'

Washindi wa Kili Music Awards 2011


MUIMBAJI BORA WA KIKE: LINAH

MUIMBAJI BORA WA KIUME: 20%

MSANII BORA WA KIUME: 20%

MSANII BORA WA KIKE: LADY JAY DEE

WIMBO BORA WA TAARAB: MY VALENTINE - JAHAZI

WIMBO BORA WA MWAKA: TAMAA MBAYA - 20%

WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI): SHIKA USHIKAPO - MAPACHA 3 / MZEE YUSSUF

WIMBO BORA WA R & B: NIKUKUPATA - BEN POL

WIMBO BORA WA HIP HOP: UKISIKIA PAAH! - JCB / FID Q / CHIDI BENZ / JAY MO

WIMBO BORA WA REGGAE: UJIO MPYA - HARDMAD / ENIKA / BNV

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL: ACTION - C PWAA / DULLY/ NGWAIR /MS TRINITY

RAPPER BORA WA MWAKA (BENDI): KHALID CHOKORAA

MSANII BORA WA HIP-HOP: JOH MAKINI

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI: NITAFANYA - KIDUM / LADY JAY DEE

MTUNZI BORA WA NYIMBO: 20%

PRODUCER BORA WA MWAKA: LAMAR

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA: ACTION - C PWAA / DULLY / NGWAIR / MS TRINITY

WIMBO BORA WA AFRO POP: TAMAA MBAYA - 20%

MSANII MPYA ANAYECHIPUKIA (UPCOMING ARTIST): LINAH

WIMBO BORA WA COLLABO: UKISIKIA PAAH! - JCB / FID Q / CHIDI BENZ / JAY MO

WIMBO BORA WA ASILI: SHANGAZI - MPOKI / CASSIM

WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA: NABEMBELEZWA - BARNABA

No comments:

Post a Comment