Saturday 8 October 2011

4th Automotive Festival 2011 yafana viwanja vya Chuo cha Posta jijini Dar

Mashabiki kwenye tamasha hilo
Waendesha pikipiki wakipimana ubavu
Wadau kibao walijitokeza
Ilikuwa kivutio cha pekee
Mbio za pikipiki
Faya ilikuwepo just in case...
Mshiriki akionesha kalufundi kake
Haya tena
Gurudumu mbili...
Huyu alitoa mpya kwa kuendesha nje ya pikipiki yake
Wadau tamashani
Palinoga
Wese likakata....
Banda la chuo cha Usafirishaji palikuwa na mafunzo ya kuendesha gari kwa kutumia simulator ya kisasa
Wauzaji wa mafuta na vilainishi
Samsung walikuwepo kuonesha muziki wa magari
wauzaji na waagizaji wa magari walikuwapo kibao
Mnada pia
wauza pikipiki na Bajaji ndani
wauza vilainishi vya magari na pikipiki
Wadau
Wazee wa kazi walikuwepo pia
Michezo kwa watoto ilipatikana pia
Gari lillotia fora kuliko yote
Dereva aliyepewa jina la Bonge akionesha umahiri wa kucheza na usukani na kushangiliwa sana
Madereva, waandaaji na wadau
Ufundi wa kuendesha
Vituko kibao
Hapo ushindwe wewe tu
Vumbi pia lilikuwepo

No comments:

Post a Comment