Saturday 8 October 2011

DK KAFUMU APOKEWA KWA SHANGWE JIJINI DAR

 Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM)  akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake, Maria Magdalena na kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.
 Dk. Kafumu akiwasalimia wananchi katika mkutano huo. Kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha,Mwigulu Nchemba
  Mwigulu akihutubia kwenye mkuytano huo.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo.
 Katibu Msaidizi Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda akitoa salamu kwenye mkutano huo.
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigella akihutubia katika mkutano huo.
 Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akihutubia katika mkutano huo
 Nape na Mwigulu wakijadili jambo wakati wa mkutano huo.
 Asha Abdallah Juma na Nape wakimfurahia mtoto Chipukizi wa CCM Asha Rajabu.
 Guninita akimpingeza Dk. Kafumu.
 Watu kibao wakimshangilia mbunge mteule wa Igunga kwenye mkutano huo.
 Juakali wa TOT Plus akifanya vitu vyake.
watu wakiuaga msafara wa mbunge mteule.Picha zote na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment