Sunday 10 July 2011

ankal katika mnuso wa anko wake rashid mkacha usiku wa kuamkia leo ilala, dar

 ah! hii nayo imeingiaje sijui..
 Ankal akirusha roho na dada zake
 Ankal akiondoka kama hana akili nzuri
 ankal akirusha roho na dada yake, Ndonya
 ankal hana haftaimu usiku huu
 Rusha roho kwa kwenda mbele
 ankal na dada zake
 ankal kumbe wamo
 wauaaaaauuuuuuu.....
 hapo rusha roho imenoga
 dadaze ankal
 kinadada wa ankal
 ankal akipewa somo na dadaye mkubwa, D'a Semeni 
 Ankal na mama na dada zake
 Ankal akipiga mpunga huku shemejie akimdeku
 Ankal akigombea mpunga na anko wake
 Jamani ubwabwa bado???
 Anko wa ankal, rashid, na mai waifu wake toka Zenji
 Picha ya pamoja na maharusi
 Ma'mkubwa na Ma'mdogo wa ankal na maharusi
 hapa kakosa ankal tu
 Bw. harusi Rashid Mkacha na mai waifu wake na wazazi
Maharusi baada ya kumeremeta Unguja juzi Ijumaa

No comments:

Post a Comment