Saturday 9 July 2011

Fainali za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 zafana, Mary Khamis anyakua taji na zawadi ya saluni

 Majaji wakiwa mezani pao wakati wa fainali za kucheza za Kimwana wa Twanga Pepeta uaiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam. Mshindi alikuwa Mary Khamis, wa pili alikuwa Laila Mshana wakati wa tatu walikuwa Hawa Miraji na wa nne Mariam Mwakyoma
 Da'Asha Baraka na wageni VIP meza kuu
 Wanenguaji wa Twanga wakipumzika baada ya kupepeta
 Jaji mkuu wa mpambano huo Papaa Amos Msanjila (shoto) na jopo lake
 Baadhi ya wadau
 Mary Khamis akitupa karata yake ya mwisho jukwaani kabla ya kutangazwa kuwa mshindi
 Mary akitawala ukumbi
 Mariam Mwakyoma akipepeta juu y meza
 Mariam Mwakyoma akipepeta mbele ya majaji
 Walioingia tano bora
 Tano bora wakipasha kabla ya kupanda mmoja mmoja
 Sehemu ya umati ulioshuhudia
 Mchuano unaendelea
 Kila mtu  akifuatilia kwa makini
 Iddi Janguo (kulia) na Omary Baraka (wa tatu) na wadau ndani ya nyumba
 Kaka Mtitu na mdau wakiwa tuliii
 Wadau kibao
 wengi walimpendekeza namba mbili, Mary Khamisi kuwa mshindi, na kweli alishinda
 Nambari mbili...!!
 ah namba mbili tu....!!
 Ankal Maabadi anataka kupaa kabisa kwa msisitizo
 Majaji wakikuna vichwa
 Da'Asha akimpa kidali po Sauda Simba
 Wadau wakisubiri matokeo
 Da'Asha akimtambulisha mmoja wa wanenguaji mahiri wa Twanga Pepeta aliyepatikana katika mashindano haya miaka minne ilopita. Kati ni Papaa Amos Msanjila akisubiri kutangaza matokeo
 Amos Msanjila akitangaza matokeo.
 Wadau toka kila pembe walikuwepo
 Amos akikiri kuwa haikuwa kazi ndogo kuamua mshindi huku muandaaji Maimartha wa Jesse akisubiri kando
 Wadau wakishuhudia Vimwana wa Twanga

 Oyeeeeee..!Ni namba mbili...!!!!
 Ankal Maabadi na Da'Sauda wakimpongeza Amos kwa kazi n zuri
 Mary akipongezwa na Kimwana wa Twanga Pepeta aliyemaliza muda wake
 Maimartha wa Jesse akimkabidhi mshindi ufunguo wa saluni mshindi Mary. Saluni hiyo iko Kinondoni Studio na atakabidhiwa kama zawadi na mtaji wa kujikimu kimaisha
 Mary akiwa na washindi wa pili na wa tatu, Laila Mshana (shoto) na Hawa Miraji
 Meza kuu imefurahia matokeo
 Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 akivishwa taji lake
 Kimwana Mary akiongea na EATV
 Kimwan aliyemaliza muda wake akiaga
Maimartha wa Jesse anasikia raha baada ya mambo kuwa mswano

No comments:

Post a Comment